Michezo

EXCLUSIVE: Mtoto Kagere aliyelia kisa Simba, afunguka “nataka kazi ya Manara” (+video)

on

Rackeem ni mshabiki wa timu ya Simba SC amefurahi baada ya kupata mwaliko wa kuishuhudia timu yake ikicheza na AS Vital kutoka Congo siku ya Jumamosi yeye na Mama yake huku akisema kila siku anasali ili Mungu awawezeshe kuwa na afya njema ili waweze kuangalia mtanange huo.

Mtoto aliyemuimbia Kagere apewe raha azungumza, haipendi Yanga Mama afunguka

Soma na hizi

Tupia Comments