Top Stories

DC Mkoani kwa Mwanri atangaza msako “haiwezekani Mbinguni na Jehanamu” (+video)

on

Zikiwa zimesalia siku chache Ofisi za Mikoa kuwasilisha taarifa za vitambulisho vya Wafanyabiashara wadogo katika Ofisi ya Rais TAMISEM, Mkuu wa Wilaya ya Uyui Gift Msuya amezindua zoezi la ugawaji wa vitambulisho hivyo huku akitaja sababu za kuchelewa kwa zoezi hili vilevile kuendesha msako kwa wafanyabiashara watakaokwepa kujisajili.

“Tumechelewa kugawa vitambulisho tulikuwa tunajaribu kujiridhisha, wananchi bado hawajajua maana ya vitambulisho tutawafuatilia haiwezekani, Mbinguni haipo na Jehanamu haipo, tutaanza msako Kata kwa Kata” DC Msuya

Watu wa Tanga wafunguka Mbakaji anaejipaka oil chafu, anatembea utupu (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments