AyoTV

VIDEO: Smart Card zitakavyofungua milango ya Electronic Taifa

on

Jumapili Septemba 11 2016 waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye kwa niaba ya waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amezindua rasmi matumizi ya tiketi za kielektroniki katika uwanja mkuu wa taifa.

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0 

Soma na hizi

Tupia Comments