Top Stories

Mrembo ana Degree anauza matunda, amataja Ruge “wateja wakubwa wanaume” (+video)

on

Tupo na Deodatha Bandebe mrembo mwenye miaka 23 Mhitimu wa Shahada ya Utawala katika Biashara na Ujasiriamali katika Chuo Kikuu cha Mzumbe aliyeitumia Shahada yake kwa kufungua biashara ya matunda mchanganyiko na kusambaza maofisini.

Anatuambia “Sio kwamba sipendi ajira niliona kuna kitu nahitaji kufanya kabla sijamfanyia mtu na mafanikio yangu nayahitaji zaidi kuliko kumfanikisha mtu, kitu unachokifanya saivi ndio kinakufanya uone matarajio yako” Deodatha Bandebe

TAZAMA MUONEKANO WA JUU WA MZUNGUKO WENYE SANAMU YA SAMAKI KIGOMA

Soma na hizi

Tupia Comments