Mix

Madaktari Kenya wameanza mgomo kitaifa

on

Taarifa zilizoripotiwa na BBC leo December 5 2016 kuhusiana na nchi ya Kenya ni kuwa madaktari  na wauguzi wa nchi hiyo wameanza mgomo wa kitaifa ikiwa kama sehemu ya kuishinikiza serikali kutimiza mahitaji yao.

Madaktari na wauguzi Kenya wameanza mgomo huo wa kitaifa kwa kushirikiana ili kuishinikiza serikali kuwalipa nyongeza zao za mishahara pamoja marupurupu yao kutokana na makubaliano ya mkataba uliosainiwa June 2013.

AyoTVMAGAZETI: Rais atoa neno zito kwa mahasimu wa JK, Lowasa atia ubani uamuzi wa JPM, Bonyeza play kuungana na Alice Tupa kwenye video hii hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments