Wakili wa Serikali Mkuu Hashimu Ngole amefunguka kuhusu hukumu iliyotolewa kwa walimu wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa darasa la tano shule ya msingi Kibeta iliyopo Manispaa ya Bukoba.
MWALIMU AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA, ALIMCHAPA MWANAFUNZI