Top Stories

IGP Sirro awaondoa Ma-RPC watatu waliotumbuliwa na Waziri Lugola

on

Leo January 22, 2019 Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa mitatu ambao Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola alitangaza kuwatengua.

LIVE: KINACHOENDELEA KWENYE MKUTANO WA SEKTA YA MADINI

Soma na hizi

Tupia Comments