Top Stories

“Matukio ni mengi ya ujambazi tembezeni msako kila nyumba” Waziri Mkuu (+video)

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo November 30, 2018 akiwa njiani kuelekea Uwanja wa ndege wa Chato alisimama na kuongea na Wananchi wa Katoro, hii ni baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoa wa Geita.

“Hatuzuii majirani kuja ila utakuja kwa kufata taratibu, lakini ukija kwa njia za panya tutashughulika na wewe” -Waziri Mkuu Majaliwa

“Tuna matukio ya Ujambazi ambayo watu wetu hawana utamaduni huo, wanaingia hapa kufanya matukio na Silaha ambazo Watanzania hawajazoea kuzitumia” -Waziri Mkuu Majaliwa

ZITTO KABWE AZUIWA KUMPA MKONO MBOWE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments