Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Top Stories

RC Mwanri ‘amkaba koo’ Massawe “tumenusa harufu ya rushwa” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amemuweka Afisa Mifugo daraja la tatu Manispaa ya Tabora Cornelius Masawe baada tuhuma za kutoza faini kinyume na maelekezo pia kuwapiga na kuwanyayasa Wafanyabiashara wa mifugo

“Alilipa shilingi laki tisa mkaishu risiti ya laki tano, tusikae tunazungushana na wote waliohusika naagiza TAKUKURU na Polisi wawashughulikie, Masawe aje hapa OCD na RPC Mkuu wa Wilaya chukua Massawe” RC Mwanri

UKATILI: MAMA ACHINJA KICHANGA CHAKE KWA KISU KISA SIMU ZA MUMEWE

Soma na hizi

Tupia Comments