AyoTV

VIDEO: Goli la John Bocco vs Simba lililomuwekea rekodi mpya

on

January 28 2017 Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea kwa Azam FC na Simba kucheza mchezo wao wa 18 wa Ligi Kuu bara katika historia, game hiyo imechezwa na Azam FC wakafanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na John Bocco dakika ya 71.

John Bocco

Goli hilo linakuwa ni goli la 13 kwa John Bocco kuifunga Simba, huku likiwa o limemfanya John Bocco awe na rekodi ya kuzifunga Simba na Yanga jumla ya magoli 26, akiwa kila timu kaifunga magoli 13 kwa 13 wakati Juma Kaseja akiwa ni golikipa aliyemfunga magoli nane kati ya hayo 26.

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments