Top Stories

Kijana aliefeli masomo, anayo carwash inayotembea, kajenga nyumba (+video)

on

Ibrahim John ni mtoto wa tatu kati ya sita, elimu yake ni kidato cha nne na umri wake ni miaka 25, baada ya kufeli masomo yake akabuni wazo la kuosha magari (Carwash) kwa kuwafuata wateja majumbani au maofisini yaani mobile carwash.

Ibrahim anasema kazi yake ya kuosha magari sio haba kwani amefanikiwa kumjengea Mama yake nyumba na kumtoa kwenye upangaji, AyoTV na millardayo.com imekaa na Ibrahim kwenye Exclusive.

Tamko la ATCL juu ya ndege za Boeing za Tanzania baada ya ajali Ethiopia

Soma na hizi

Tupia Comments