Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya amefanya Party ya kumpongeza Mwanae Briton kwa kuhitimu elimu yake ya msingi ambapo amewaalika ndugu na marafiki wake wa karibu kujumuika pamoja chakula cha jioni nyumbani kwake Mbweni Dar es salaam.
Esther Bulaya amdondoshea Mwanae Party ya nguvu, Mdee anogesha
Leave a comment
Leave a comment