Habari za Mastaa

Umeisikia hii ya AY kwenye U-HEARD baada ya kumvalisha mpenzi wake pete?

on

Baada ya AY kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy kutoka Rwanda kisha kuingia kwenye headline leo July 14, 2017 kupitia U-heard ya XXL ya Clouds FM amelielezea tukio hilo akisema ni surprise kwani karibu ya 70% ya watu wake wa karibu hawakuwa na taarifa.

AY alisema alimfanyia kama surprise baada ya kumuita ili kumpongeza mpenzi wake huyo baada ya kuhitimu ndipo akaamua kumvalisha na pete ya uchumba.

>>>”Ilikuwa Surprise kwa watu wote kama 70% hivi. Nipo hivyo siyo mtu wa kuweka mambo mengi wazi kwa watu. Ilifanyika sehemu flani mimi mwenyewe naipenda. Pete ina madini ya Tanzanite na Diamond. Aliona ni kitu kikubwa kwake maana alikuwa amegraduate Engineering so nikamuita kama kumpongeza.” – AY.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story

VIDEO: Rammy kuhusu mahusiano na movie aliyoigiza na Masogange

Soma na hizi

Tupia Comments