Licha ya huzuni kuwatawala lakini walihakikisha wanafanya kile ambacho Baba yao anakipenda kuwaona wanafanya kwa wakati wote. Watoto wa Ruge Mutahaba (Wasanii wa THT) Wakimuimbia Baba yao ambaye amelala usingizi mzito mbele yao.
Heshima mara ya mwisho na machozi ya THT mbele ya mwili wa Boss Ruge (+video)

Leave a comment
Leave a comment