Top Stories

RPC Kigoma azungumzia gari lililopinduka na kuua watu wanne (+Audio)

on

January 24, 2019 Watu wane wafariki dunia na wengine 42 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wamepanda kuacha barabara na kupinduka Mkoani Kigoma likitokea Mwanza.
Kamanada wa Polisi Mkoani Kigoma Martin Ottieno ametaja basi la Fikosh lenye namba ya usajili T 400 AUV ilipinduka katika eneo la Uvinza, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma.

EXCLUSIVE: DC Gondwe afunguka “Siku nateuliwa nilishakula hela za U-MC, Eminem anatukana”

Soma na hizi

Tupia Comments