Michezo

Yanga wameingilia mlango sio rasmi, waleta basi tupu, wachezaji wakiingia na Coaster (+video)

on

Club ya Yanga leo February 16, 2019 imeingia Uwanja wa Taifa ikileta basi tupu na baadae kuwaleta wachezaji wake na Coaster, pamoja na hayo Yanga wamegoma kuingia dressing room za kawaida.

Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Taifa, mashabiki wa Simba na mbwembwe zao leo (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments