Top Stories

TRA ilivyogawa makontena ya Paul Makonda (+video)

on

Leo October 31, 2018 Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo amesema tayari makontena RC Makonda yamekwishagawanywa katika mikoa mbalimbali.

“Makontena takriban 20 yenye Samani zilizokuja kwa jina la Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda tumeyagawa katika mikoa mbalimbali baada ya kushindikana kuyanadi, kwa mujibu wa sheria tunaruhusiwa kuyagawa endapo itashindikana kunadi” – Richard Kayombo

LIVE: RC Makonda akitangaza kamati itakayotokomeza mashoga

Soma na hizi

Tupia Comments