Habari za Mastaa

R Kelly aiomba mahakama imuachie kuepuka Corona

on

Ni headlines za mkali kutokea Marekani R Kelly ambae ameiomba Mahakama kumuachia kwa muda ili kuepuka janga la dunia la CORONA VIRUS ambalo kwasasa linatikisa Marekani.

Kesi hiyo iliyosikizwa jana Alhamis, Mwanasheria wa R. Kelly amemuomba Jaji Harry Leinenweber kupeleka mbele maombi ya kusikiliza dhamana ya mteja wake, badala yake imuachie kwa muda kutokana na kuepuka Ugonjwa wa Corona Virus

Ikumbukwe R Kelly staa huyo alipandishwa kizimbani kwa ajili ya kusikiliza mashtaka 11 juu ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya mabinti wadogo.

Soma na hizi

Tupia Comments