Habari za Mastaa

‘Ilikuwa ndoto yangu, Aslay ana-play part  ambayo haitakaa ifutike kwenye maisha yangu’

on

Mzazi mwenza na Aslay, Tessy ambaye aliwahi kuahidi kutuonesha biashara yake anayoifanya, baada ya watu wengi kudai kuwa amekuwa ni mtu wa kupiga picha tu na kupost toka alivyoachana na Aslay. AyoTV na millardayo.com zimefika mahali hapo alipopafungua Tessy na kufanya naye mahojiano.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: Majibu ya Shilole kwa wanaosema hajiweki kisanii ‘Mnikome, napenda maisha haya’

Soma na hizi

Tupia Comments