Mix

Ziara ya kushtukiza ya DC Mndeme, TRA yavifungia vituo 8 vya Mafuta Dodoma leo

on

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Christina Mndeme leo July 14, 2017 amefanya ukaguzi kwenye vituo vya mafuta ili kuona kama wafanyabiashara ya mafuta wanafuata sheria na taratibu za utoaji risiti na ulipaji kodi kwa kufunga mashine sahihi za EFPP moja kwa moja kwenye pampu za mafuta.

Akishirikiana na Maafisa wa TRA Dodoma katika ziara hiyo DC Mndeme alikagua vituo 9 na kugundua ni kituo kimoja pekee kati ya hivyo kinafuata sheria na kuchukua hatua ya kuvifungia vituo vinane ambavyo havikufuata utaratibu.

VIDEO: Walichokizungumza Star TV baada ya kufungiwa na TRA!!!!

Soma na hizi

Tupia Comments