Video Mpya

AudioMPYA: Usikilize hapa mdundo mpya kutoka kwa Rostam na Ney wa Mitego

on

Baada ya ukimya wa muda mrefu hawa hapa Roma na Stamina kwa pamoja wanakuletea mdundo wao mpya walioshirikiana na Ney wa Mitego mdundo unaitwa ‘Kijiwe Nongwa‘. Bonyeza PLAY hapa chini kuusikiliza.

 

Soma na hizi

Tupia Comments