Habari za Mastaa

CloudsFM TOP 20: Midundo 20 Mikali ya wiki iliyosikika Clouds FM Sept 03

on

Leo September 03, 2017 kupitia Clouds FM imeruka midundo 20 ya wiki ambayo millardayo.com inakupa nafasi ya kuweza kufahamu na kujua nani kapanda, nani kashuka na lipi ingizo jipya kwenye chat hiyo.

Chat ya wiki hii ingizo jipya ni wimbo wa Roma & Stamina – Hivi ama vile, Beka Flavor – Sikinai na wimbo wa Alikiba – Seduce Me.

SHILOLE KAPOSWA! Aongea kuhusu kuishi na mtoto wa Uchebe

FIESTA 2017 ndio imetengeneza gumzo la Diamond na Alikiba?

Soma na hizi

Tupia Comments