AyoTV

VIDEO: Simu Mstaafu Jakaya Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake na Lowassa

on

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amepita kwenye OnAIR with Millard Ayo na kuongelea ishu mbalimbali ikiwemo simu aliyopigiwa na Baba yake ambaye ni Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete baada ya kuona ile picha aliyopiga na Edward Lowassa uwanja wa taifa Dar es salaam kwenye mechi ya Yanga vs Simba.

Ikiwa hii ni Part 1, pamoja na hiyo picha na Edward Lowassa ambayo imetawala mitandaoni weekend hii iliyoisha, Ridhiwani ameongelea ishu mbalimbali za Chalinze na game ya Yanga vs Simba iliyomalizika juzi kwa ushindi wa 1-2, tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

FULL VIDEO: Steve Nyerere atokwa machozi akiongelea sauti ya simu iliyosambaa akiongea na Mama Wema Sepetu, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments