Video Mpya

VideoMPYA: Kolabo ya Vanessa Mdee na Reekado Banks tena, Time hii ni ‘Bambino’

on

Mwimbaji staa wakike kutokea kwenye Bongofleva Vanessa Mdee amefanya tena kolabo na mnaijeria Reekado Banks na time hii yeye ndiye kamshirikisha kwenye wimbo wake unaoitwa ‘Bambino’. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama video.

VIDEO: Tazama Ney wa Mitego alivyoingia Manzese na kugawa hela kwa Mama ntilie

MX kamtaja Shilole kama Msanii wake aliyepata madili ya hela 2018 ‘Dili moja mpaka Million 150’

Soma na hizi

Tupia Comments