Habari za Mastaa

Post ya Ommy Dimpoz imekuwa gumzo Instagram, Soudy Brown kampigia simu

on

Leo August 7, 2017 katika U HEARD ya XXL kutoka Clouds FM, mtangazaji Soudy Brown amemtafuta mwimbaji staa wa Bongofleva Ommy Dimpoz baada ya kupost picha ambayo imekuwa gumzo kwenye Instagram yake.

Soudy Brown ameongea na Ommy Dimpoz ambaye amesema>>>“Sasa tatizo liko wapi? Kama ukitaka simu chukua na mafuta ubaya uko wapi yaani? Fumbo liko wapi? Wewe unae girlfriend au hauna? Simu siku hizi za kisasa kama iPhone 7 unaweza kuiosha ikichafuka kwa sababu ni waterproof na ukaipaka mafuta.” – Ommy Dimpoz. 

Bonyeza play kusikiliza Full story…

Shilole kafunguka baada ya kugonganishwa na Nawal 

Entertaiment: Chama cha mabachela kinazidi kuporomoka 

Soma na hizi

Tupia Comments