Habari za Mastaa

Clouds FM Top 20: List ya midundo 20 ya wiki, leo July 2, 2017 (+Videos)

on

Top 20 ya Clouds FM le July 2, 2017 ikisimamiwa na Mtangazaji Mami Baby ilikamilisha hesabu ya nyimbo 20 zilizofanya vizuri wiki hii…kama hukupata time ya kusikiliza kupitia Radio hii ni time yako ya kujua chart imesimama vipi kupitia millardayo.com.

Ingizo jipya wiki hii ni wimbo wa Saida Kalori – Uligambo ambao umekamata nafasi ya 10 kwenye chart.

20: Maua Sama – Main Chick

19: Major Lazer feat PARTYNEXTDOOR & Nicki Minaj  – Run Up 

18: Weusi – Ya kulevya

17: Kendrick Lamar – HUMBLE

16: Nedy Music – Dozee

15: Beka Flavour – Libebe

14: Asley – Angekuona

13: Timbulo – Mfuasi

12: Jux – Umenikamata

11: DJ Khaled  feat. Rihanna, Bryson Tiller – Wild Thoughts

10: Saida Karoli – Orugambo 

9: Davido – If

8: Chege & Temba feat Emmy Wimbo – Go Down

7: Nyashinski – Malaika

6: Coyo – Ziwafikie

5: DJ Khaled feat Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper, Lil Wayne – I’m the One

4: Harmonize X Rich Mavoko – Show Me

3: Young Dee – Bongo Bahati Mbaya

2: Ray C – Unanimaliza

1: Darassa – Hasara Roho

FULL VIDEO: MC Pilipili na Eric Omondi walivyochekesha DSM

ULIPITWA: Benjamin Wa Mambo Jambo amerudi…alikuwa anafanya nini?

Soma na hizi

Tupia Comments