AyoTV

VIDEO: RC Makonda alivyozindua ujenzi wa barabara kwa kuendesha Greda mwenyewe

on

Ni Dec 13, 2016 ambapo Mkuu wa mkoa, Paul Makonda amezindua rasmi ujenzi wa barabara kwa kiwango cha zege kwa kilometa 1, barabara iliyopo wilaya ya Temeke inayoanzia shimo la udongo mpaka EPZ, msaada uliotolewa na kampuni ya mzalendo.

Akizungumza na waandishi wa habari RC Paul Makonda aliyaongea haya>>>Leo kilichopo hapa ni kampuni ya watanzania wanaokaa katika jiji la Dar es Salaam baada ya kusikia jitihada za watu mbalimbali wanaojitolea kusaidia jiji letu nao wakaona ni vyema kutoa mchango wao wa kuongea jitihada zao ya kuanzia ujenzi wa barabara yenye kiwango cha zege’

‘Kwenye makubaliano tumeona barabara hii itakuwa inahusika kupitisha magari makubwa ya mizigo basi ndio sababu ya kujenga kwa kiwango cha zege na leo ndio tumezindua rasmi’

ULIIKOSA HAYA MAJIBU YA JPM KUHUSU KIKAO CHA CCM KUFANYIKIA IKULU BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments