Mix

TOP 10: Forbes imewataja watu 10 matajiri zaidi duniani

on

Jarida linalofatilia maisha ya watu maarufu na mali zao “Forbes” limetoa list ya watu matajiri zaidi duniani, na wakati huu kuna mabadiliko makubwa ya watu waliofanikiwa kuingia kwenye Top 10. Bilionea Bill Gates ameendelea kushika nafasi ya kwanza ikiwa ni mara ya 18 kati ya 23 zilizowahi kutajwa.

Kijana mfanyabiashara wa mitandao Mark Zuckerberg ambaye ni mmiliki wa mitandao maarufu ya kijamii kama Facebook, Whatsapp na Instagram amepanda mpaka nafasi ya 5 mwaka huu.

Nimekuwekea hapa FULL LIST ya matajiri wa dunia.

VIDEO: Ulipitwa na alichokiamua Waziri Nape Nnauye baada ya kuwepo taarifa za kuvamiwa Clouds TV. Bonyeza play hapa kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments