Stori Kubwa

Polisi wa Marekani amelalamikiwa kwa ubaguzi, ishu ni hiki alichomfanya huyu msichana.. (Pichaz & Video)

on

polise2

Story za watu weusi kuuawa Marekani iligusa wengi, mmoja ya waliouawa ni kijana Freddie Gray ambaye aliuawa mikononi mwa Polisi kwenye mji wa Baltimore, Marekani.. leo iko hii nyngine inayohusu kisa cha mwanamke kunyanyaswa.

poliseHii imetokea Texas Marekani, inahusu Polisi mmoja ambaye amesimishwa kazi baada ya video moja kuwekwa kwenye mitandao ikimuonyesha kuwa kwenye mabishano hivi na kundi la vijana wengi ambao ni weusi.

polise2Katika video hiyo afisa huyo anaonekana akiwalenga vijana wawili wa kiume kwa bunduki yake, stori ilikuwa kubwa na watu hawakupenda kitendo cha Askari huyo kumuangusha chini na kumkamata msichana mdogo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 15.

polise3Polisi hao waliitwa na wenyeji wa eneo hilo ambao walionekana kama kukerwa hivi na vijana hao ambao walikuwa kwenye swimming poo.

Polisi wamesema wanachunguza juu ya ishu hiyo, majibu yatatolewa Upelelezi ukikamilika japo Askari huyo, Eric Casebolt kwa sasa amesimamishwa kazi.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments