Duniani

TOP 20: Hizi ndizo nchi zinazotajwa kuongoza kwa ubaguzi duniani, Afrika zipo 5

on

Ubaguzi wa rangi ni moja kati ya matatizo yanayosumbua dunia kwa muda mrefu na limekua chanzo cha migogoro katika nchi nyingi duniani kote ambapo kwa mujibu wa repoti ya Washington Post nchi nyingi kutoka Asia zimetajwa kuongoza kwa ubaguzi.

Kwa muibu wa ripoti hiyo pia, nchi ya Afrika Kusini inatajwa kuwa nchi pekee kutoka barani Afrika kuwa na ubaguzi wa rangi kwa kiwango cha 19.6% ikishika nafasi ya 9 kwenye list ya nchi 20 zinazoongoza kwa ubaguzi wa rangi duniani huku Libya na Misri pia zikiingia TOP 20.

Kwa mujibu wa utafiti huo wa Washington Post hizi ndizo nchi 20 zinazotajwa kuongoza kwa ubaguzi wa rangi hadi kufikia December 2016.

VIDEO: Ulipititwa na hii ya Mbunge Doto Biteko kuongelea kuhusu udhalilishaji unaofanywa kwa Walimu? Bonyeza play kutazama.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo 

 

Soma na hizi

Tupia Comments