Top Stories

Radi yaua Kigoma yapita katika kuta ya nyumba “Yapiga nyumba tatu”(video+)

on

Mtu mmoja anayefahamika Kwa jina la John Rajabu (60) Mkazi wa mtaa wa Bushabani kata ya Kibirizi Manispaa ya Kigoma ujiji Mkoani Kigoma amefariki baada ya kupigwa na Radi akiwa nyumbani kwake leo asubuhi.

DAKIKA CHACHE KABLA YA MGOMBEA USPIKA KUTANGAZWA, MWIJAKU AFUNGUKA “TUMSHIKE MKONO”

Soma na hizi

Tupia Comments