Watu watatu akiwamo mtoto wa mwaka mmoja amefariki baada ya radi kuunguza nyumba waliokuwa wakiishi baada ya mvua kubwa iliyoambatana na radi mkoani Tabora.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema kuwa tukio hilo limetokea katika kitongoji cha Mkuyuni, Kijiji cha Lumbulasiasa kata ya Ugunga Wilaya ya Kaliua.
Amesema wakati mvua inanyesha, radi ilipiga na kuiunguza nyumba ambayo walikuwemo.
DEC. 1 TOZO ZA MAEGESHO YA MAGARI KIELEKTRONIKI ZINAREJEA DAR “CHOMBO KILIPAKI MAHALI GANI, NI SIRI”