Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Raia ashtakiwa kwa kutaka kumuuwa Donald Trump nchini Marekani
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Raia ashtakiwa kwa kutaka kumuuwa Donald Trump nchini Marekani
Top Stories

Raia ashtakiwa kwa kutaka kumuuwa Donald Trump nchini Marekani

January 11, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mkazi wa Rockaway Beach, New York, nchini Marekani ameshtakiwa kwa tuhuma za kutaka kumuua Rais wa zamanı wa Marekani, Donald Trump. 

Baba huyo mwenye umri wa miaka 72 aitwae Thomas Welnicki, alifikishwa Mahakamani Jumatatu kusomewa shtka hilo.Mshtakiwa huyo inaelezwa January 2021 alifanya mahojiano ya hiari huku akisema endapo Trump atashindwa Uchaguzi basi atamdhibiti kwa silaha.

Jarida la Complex liliripoti kwamba mtuhumiwa anashtakiwa kwa kukusudia na kutaka kumdhuru Rais wa Zamani.

Hata kama Trump hakutajwa kwa majina kwenye nakala hizo za Polisi, maelezo yalijitosheleza kuonyesha kuwa ni yeye ndio alikuwa anatishiwa maisha.

RADI YAUA WANNE WAKICHIMBA KABURI CHUNYA, DC ASIMULIA ILIVYOKUWA

You Might Also Like

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

TAGGED: Trump
Edwin TZA January 11, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Live: Rais Samia akizindua kiwanda cha nguo visiwani ZNZ
Next Article Waziri Nape aguswa na vifo vya waandishi wa habari Mwanza “Nimepokea kwa Masikitiko”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?