Mix

Wiki mbili baada ya muigizaji wa Nigeria MUNA OBIEKWE afariki, mazishi yake ilikuwa ni jana #RIP

on

Muna-Obiekwe-2-600x600

Wiki mbili zimepita tangu afariki, alikuwa staa wa movie za Nigeria, Muna Obiekwe ambapo sababu ya kifo chake imetajwa kuwa ni tatizo la figo ambapo hakuhitaji kuchangiwa chochote ili akapatiwe matibabu, mipango yake ilikuwa afanye event ili kile atakachokipata akafanye matibabu.

Mastaa mbalimbali, ndugu, jamaa na marafiki walikutana jana katika Jimbo la Anambra, Nigeria kufanya mazishi ya staa huyo jana February 3.

Muna-Obiekwe-2-600x600

Muna-Obiekwe-598x600

MUNA

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments