Mix

PICHA 8: Rais Magufuli alivyowaapisha Jaji wa mahakama ya Rufani pamoja na jaji Kiongozi

on

June 10 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amemuapisha Jaji Shaaban Ali Lila kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Jijini Dar es salaam.

Kabla ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Jaji Shaaban Ali Lila alikuwa Jaji Kiongozi. Rais Magufuli pia amemuapisha Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali kuwa Jaji Kiongozi. Kabla ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa Jaji Kiongozi, Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali alikuwa Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto, Mkoani Tanga.

Jaji Kiongozi Ferdinand Leons Katipwa Wambali amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Shaaban Ali Lila ambaye amekua Jaji wa Mahakama ya Rufani.

.

Jaji Shaaban Ali Lila akiapa

.

Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali akiapa

.

.

.

.

.

.

.

.

 

.

.

5

ULIKOSA HII YA RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments