Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa anaripotiwa kuhamishwa na kupelekwa mahali salama baada ya makundi ya Watu kuvunja kizuizi kilichokuwa kimewekwa na Polisi na kuingia Ikulu.
Sri Lanka inakabiliwa na mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi tangu ipate uhuru huku kukiwa na uhaba mkubwa wa mafuta na dawa.
Unaweza ukabonyeza play kufahamu kile kinachojiri huko Sri Lanka baada ya Raia wake kuvamia Ikulu.