Top Stories

Rais ajiuzulu, asema Katiba haimpi madaraka ya kutosha

on

Rais wa Armenia, Armen Sarkissian ambaye ameongoza Nchi hiyo tangu 2018 amewasilisha maombi ya kujiuzulu akisema anaamini Katiba haimpi madaraka ya kutosha kushawishi matukio

Mwaka 2021 kulitokea Mvutano kati ya Rais Sarkissian na Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Nikol Pashinyan kutokana na masuala mbalimbali ikiwemo kuondolewa kwa Mkuu wa Jeshi

Nafasi ya Waziri Mkuu inaonekana kuwa kubwa zaidi kuliko ile ya Rais

Soma na hizi

Tupia Comments