Top Stories

Rais amuita Ikulu muendesha Bodaboda aliyeokota Milioni 115 na kuzirudisha kwa muhusika

on

Kijana Emmanuel Tuloe (19) ambaye ni Dereva wa Bodaboda Nchini Liberia amejikuta akiitwa Ikulu ya Nchi hiyo na kukutana na Rais George Weah wa Nchi hiyo kutokana na kitendo chake cha kiungwana cha kuokota begi la pesa lenye Dola za kimarekani 50,000 (Tsh. milioni 115.2) na kuzirudisha kwa mwenye nazo, nini kimeendelea? tazama ripoti hii

BINADAMU ALIYEFANANISHWA NA SOKWE RWANDA APELEKWA SHULE, MIAKA 22 HAJUI KUZUNGUMZA

 

Soma na hizi

Tupia Comments