Mix

Rais Donald Trump afungiwa mtandao wa Youtube

on

Baada ya Mitandao ya Twitter na Facebook kutangaza kufungia account za Rais Donald Trump, Mtandao wa Youtube pia umetangaza kuifungia Youtube ya Donald Trump kwa siku saba baada ya moja ya video zake kukiuka sera za Youtube.
Kwa hizi siku 7  Trump hatokuwa na uwezo wa ku-upload chochote kupitia  Youtube pia wamezifunga comments hivyo hakuna anaeweza ku-comment kwenye youtube hiyo yenye subscribers milioni 2.78.
RIDHIWANI KAMTAJA DIAMOND, ALIKIBA NA HARMONIZE KWENYE LIST YA WASANII ANAOKUBALI NYIMBO ZAO

 

 

Tupia Comments