Top Stories

Rais Magufuli achota mchanga akikagua ujenzi Ikulu Dodoma (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo May 29, 2020 amekagua maandalizi ya sherehe za uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma zitakazofanyika kesho tarehe 30 May, 2020.

TRA YAFANYA MAAMUZI MAGUMU “SABABU YA CORONA NA EID TUTAFANYA KAZI WEEKEND HII”

Soma na hizi

Tupia Comments