Top Stories

Rais Magufuli aahidi Milioni 100 Wafanyabiashara Dumila (+picha )

on

Leo August 5, 2020  Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John.P.Magufuli awasalimia wafanya biashara wa mazao eneo la Dumila na kuwaahidi kuwapatia shilingi Milioni mia moja kwa ajili ya Ujenzi wa mabanda ya kisasa, baada ya wafanyabiashara hao kumuomba Rais waongezewe eneo hilo lililopo kando ya Barabara iendayo Dodoma.

Katika eneo hilo Rais Magufuli alifurahia muhindi alionunua eneo la Dumila alipo simama kuwasalimia wafanyabiashara wa mazao na Mahindi ya kuchoma walio kando ya barabara eneo la Dumila mkoani Morogoro.

TAMKO LA CCM JUU YA WIMBO WA TAIFA KUONGEZEWA BETI, JPM KUCHUKUA FOMU YA URAIS

Soma na hizi

Tupia Comments