Top Stories

Rais Magufuli alivyoingia msikitini, asimulia alivyoulizwa maswali na Mfalme (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea Msikiti Mkuu uliojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco.

Msikitini hapo, Mhe. Rais Magufuli amepokelewa na Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zuberi Ally, Balozi wa Morocco hapa nchini Abdelilah Benryane na viongozi wengine wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) ngazi ya Taifa na Mkoa wa Dar es Salaam.

KILICHOSABABISHA MVUA GHAFLA DSM

Soma na hizi

Tupia Comments