Top Stories

Rais Magufuli alivyomkaribisha Lowassa nyumbani kwake (+pica)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakati alipomkaribisha nyumbani kwake Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma jana mara baada ya hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM.

MAGUFULI AWASIMAMISHA DIAMOND NA ALIKIBA BIFU YAO “PATANENI, NYINYI NI VIJANA” AWAPA SOMO

Soma na hizi

Tupia Comments