Top Stories

Rais Magufuli ameona video ya Bibi akilia “imemtia uchungu sana, Bibi asiondolewe kwenye eneo” (+video)

on

Rais Magufuli ameiona habari tuliyoirusha June 10, 2020 juu ya Bibi Elizabeth ambaye aliekuwa anasumbuliwa na mtu asiemjua ambaye alikuwa anataka kumtoa katika eneo ambalo yeye amedai amekaa hapo toka enzi za Nyerere.

Rais baada ya kuona video hiyo amemtuma Waziri Lukuvi nyumbani kwa Bibi huyo ambapo imeamriwa huyo Bibi Elizabeth apatiwe eneo hilo na hati itolewe ndani ya mwezi mmoja.

KWA UCHUNGU BIBI MZEE ALIA “NIMEMZIKA MAMA YANGU, NIMEKAA HAPA MIAKA 70, NANYANYASIKA”

Soma na hizi

Tupia Comments