Top Stories

Rais Magufuli ampongeza Rais wa Namibia kwa kuchaguliwa tena

on

Rais Magufuli amempongeza Rais wa Namibia Hage Geingob kwa kuchaguliwa kwa mara nyingine kuwa Rais wa Nchi hiyo na kusema hiyo ni ishara tosha ya kuwa Watu wa Namibia wana Imani kubwa kwake

Kupitia ukurasa wa Twitter wa Rais Magufuli ameandika “tutadumisha ushirikiano wetu katika kuimarisha historia na Undugu wa Nchi hizi mbili”.

KWA MARA YA KWANZA FARU WEUPE KULETWA, WAZIRI AZUNGUMZIA

Soma na hizi

Tupia Comments