Top Stories

Rais Magufuli amtumbua DC wa Rufiji amteua mwanajeshi

on

Baada ya safari ya kutoka Lindi, Mtwara ya Rais Magufuli na kuzungumza na Wananchi mbalimbali ambao walimueleza kero zao, muda huu amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya wa Rufiji na kumuondoa aliekuwepo.

FURAHA YA MAGUFULI AZAWADIWA JOGOO MKUBWA “KUKU OYEEE, BABA KAFARIKI NITAKUPA MAMA YANGU”

Soma na hizi

Tupia Comments