Top Stories

Rais Magufuli aongoza Kikao cha Mawaziri Ikulu Dodoma (+picha)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Baraza cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri wote, Manaibu Mawaziri pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama. Chamwino Dodoma. Machi 24, 2020.

CORONA: MALALAMIKO YA MAMA ALIETAKIWA KWENDA KARANTINI, WAZIRI AJIBU

Soma na hizi

Tupia Comments