Top Stories

Rais Magufuli apangua Wizara ya Afya, amuondoa Katibu Mkuu

on

Rais Dkt John Magufuli amemteua Dkt Zainab Chaula kuwa Katibu Mkuu wa Mawasiliano,kabla ya Uteuzi huu Dkt Zainab Chaula alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya.

 

LIVE: WAZIRI MKUU ANAHUTUBIA VIONGOZI WA DINI, “USITUUE USITUUE MUNGU”

Soma na hizi

Tupia Comments