Top Stories

Rais Magufuli awavaa Wagombea Urais Zanzibar, awapa onyo kali, aeleza sababu za kugombea (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wana CCM wote wanaoenda kugombea katika nafasi mbalimbali wakawe wavumilivu na wasije wakasababisha kuvunja umoja wao, hasa katika kipindi hiki cha kampeni kwani watapoteza mwelekeo.

“Niwaombe sana hasa wagombea wa CCM na Urais wa Zanzibar, wakawe waangalifu sana katika kunadi nafasi zao wasiumizane, tunawapa nafasi washindani wetu” JPM

“Kazi siyo Urais tu na ndiyo maana Wenyeviti wangu wa CCM wa Mikoa wote walikuwa na uwezo wa kuwa Marais lakini mkasema nenda wewe Magufuli” JPM

LIVE: RAIS ARUDISHIWA HELA ZAKE ZA FOMU, ARUDISHA FOMU

Soma na hizi

Tupia Comments