Top Stories

Rais Magufuli azindua msikiti wa Aboubakary Zuberi uliogharimu Milioni 300

on

Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amezindua Msikiti unaoitwa Sheikh Aboubakary Zuberi uliopo Chamwino mkoani Dodoma, ambao umejengwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kugharimu zaidi ya TZS Milioni 300 na utatumiwa na Waumini 500.

Msikiti huo umejengwa kutokana na harambee maalum aliyoiendesha Rais Magufuli akiwa Kanisani.

Soma na hizi

Tupia Comments